Tuesday, May 29, 2012
FARU WA KWENYE PROJECT YA SERENGETI
Kusema Ukweli Nimepokea Kwa Masikitiko Habari Ya Kuwa Maasikari Walioshiriki Kuua Faru 2 Wa Kwenye Project ya Serengeti Ukizingatia Faru Ni Kati ya Wanyama Walio Hatarini Kupotea Kabisa Kizazi
Hivi Mnatutakia Nini Wale Ambao Tumesomea Wanyama Pori Mnataka Tujipatie Wapi Riziki Au Mtatupatia
Hakuna Kitu kina Niudhi Kama Mtu Anayeshiriki Kusababisha Kifo Cha Mti,Nyasi,Wadudud Wanyama Kwa Maslahi Yao Binafsi
Naomba Hao Watu Walioshiriki Katika Vifo Vya Hao Faru 2 Wawajibishwe Kwani Wanyama Hawa Ni Moja Kati Ya Vivutio Vikubwa Tanzania na Dunia Isitoshe Ni Adimu Yaani Isitoshe Nchi Nyingine Hawana Faru
KAMA HIYO HAITOSHE HAWA WANYAMA HARUHUSIWI KUWINDWA
Thursday, May 24, 2012
TheCHOICE: DIVA WA CLOUDS AOMBA MSAMAHA ,SOMA ALICHOKIANDIKA
TheCHOICE: DIVA WA CLOUDS AOMBA MSAMAHA ,SOMA ALICHOKIANDIKA: Kuna watu inawezekana nimewakwaza in anyway kwa nilichoongea ,haikuwa hivyo kama inavyochukuliwa,so kama umekwazika am sorry.
Tuesday, May 22, 2012
UPENDO
Sayari Dunia Uliumbwa Wapendeza Lakini sas Watupeleka Wapi Tunahangaika Hatujui Tuendako ni Yesu Pekee Ajuaya
JAMANI wANADUNIA tUPENDANENI TUACHE KUBAGUANA KWA RANGI SARU UKABILA ELIMU CHEO
ILA TUISHI KWA KUHESHIANA NAKUPENDANA JAMANI
NI HAYO TU!
JAMANI wANADUNIA tUPENDANENI TUACHE KUBAGUANA KWA RANGI SARU UKABILA ELIMU CHEO
ILA TUISHI KWA KUHESHIANA NAKUPENDANA JAMANI
NI HAYO TU!
Subscribe to:
Posts (Atom)