Tuesday, May 29, 2012

FARU WA KWENYE PROJECT YA SERENGETI

Kusema Ukweli Nimepokea Kwa Masikitiko Habari Ya Kuwa Maasikari Walioshiriki Kuua Faru 2 Wa Kwenye Project ya Serengeti Ukizingatia Faru Ni Kati ya Wanyama Walio Hatarini Kupotea Kabisa Kizazi Hivi Mnatutakia Nini Wale Ambao Tumesomea Wanyama Pori Mnataka Tujipatie Wapi Riziki Au Mtatupatia Hakuna Kitu kina Niudhi Kama Mtu Anayeshiriki Kusababisha Kifo Cha Mti,Nyasi,Wadudud Wanyama Kwa Maslahi Yao Binafsi Naomba Hao Watu Walioshiriki Katika Vifo Vya Hao Faru 2 Wawajibishwe Kwani Wanyama Hawa Ni Moja Kati Ya Vivutio Vikubwa Tanzania na Dunia Isitoshe Ni Adimu Yaani Isitoshe Nchi Nyingine Hawana Faru KAMA HIYO HAITOSHE HAWA WANYAMA HARUHUSIWI KUWINDWA

Thursday, May 24, 2012

TheCHOICE: DIVA WA CLOUDS AOMBA MSAMAHA ,SOMA ALICHOKIANDIKA

TheCHOICE: DIVA WA CLOUDS AOMBA MSAMAHA ,SOMA ALICHOKIANDIKA:   Kuna watu inawezekana nimewakwaza in anyway kwa nilichoongea ,haikuwa hivyo kama inavyochukuliwa,so kama umekwazika am sorry.

UPENDO

Sayari Dunia Uliumbwa Wapendeza Lakini sas Watupeleka Wapi Tunahangaika Hatujui Tuendako ni Yesu Pekee Ajuaya
JAMANI wANADUNIA tUPENDANENI TUACHE KUBAGUANA KWA RANGI SARU UKABILA ELIMU CHEO
ILA TUISHI KWA KUHESHIANA NAKUPENDANA JAMANI
NI HAYO TU!