Kusema Ukweli Nimepokea Kwa Masikitiko Habari Ya Kuwa Maasikari Walioshiriki Kuua Faru 2 Wa Kwenye Project ya Serengeti Ukizingatia Faru Ni Kati ya Wanyama Walio Hatarini Kupotea Kabisa Kizazi
Hivi Mnatutakia Nini Wale Ambao Tumesomea Wanyama Pori Mnataka Tujipatie Wapi Riziki Au Mtatupatia
Hakuna Kitu kina Niudhi Kama Mtu Anayeshiriki Kusababisha Kifo Cha Mti,Nyasi,Wadudud Wanyama Kwa Maslahi Yao Binafsi
Naomba Hao Watu Walioshiriki Katika Vifo Vya Hao Faru 2 Wawajibishwe Kwani Wanyama Hawa Ni Moja Kati Ya Vivutio Vikubwa Tanzania na Dunia Isitoshe Ni Adimu Yaani Isitoshe Nchi Nyingine Hawana Faru
KAMA HIYO HAITOSHE HAWA WANYAMA HARUHUSIWI KUWINDWA
No comments:
Post a Comment