Msanii mchanga anayetikisa kwenye anga la muziki wa Bongolfeva kwa staili yake ya HipHop kutoka mkoani Arusha anayejulikana kwa jina maarufu la Dogo Janja arudishwa kwao Arusha. Dogo janja ambaye alikuwa akisoma shule ya sekondari Makongo na alikuwa akisimamiwa kazi zake za muziki pamoja na shule na kundi zima la TipTop chini ya Madee ametuhumiwa kwa tabia mbaya ya utoro shuleni pamoja na kukiuka misingi ya mikataba na kundi hilo hivyo wameamua kumrudisha
kwao Arusha kuepuka lawama kutoka kwa
wazazi pamoja na jamii kwa ujumla kwani wao
ndio waliomleta Dar na waliahidi kusimamia
kila kinachomhusu Dogo Janja ikiwemo shule.
No comments:
Post a Comment